Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,008
- 45,721
😊 Pole yako nzuri sana kwa Muhanga 😂😂😂Polesana
😊 Pole yako nzuri sana kwa Muhanga 😂😂😂Polesana
Dada Deborah wa form 4 liva, mbona Kama umetusema sisi ma un educated😂😂Nasikiaga tu story zao hao 3 mzuka.. leo sasa uso kwa uso 😂😂
Mwaka wa 4 huu mjini af wao wanataka kufanya niichukie Arusha. Mbwa kabisa haya machalii un educated!!.
Ndio maana watu wa Dar wanayaambia yanatatuliwa rinda na wazungu sbb ni kama hizi 🤣🤣🤣
Nirudi kwenye hiace/ indrive gari. Boda za jioni mie basiiiii
Hapo ndo wanaume waelewe mtu akisema ana boda boda wake. Hizi mambo za kuokoteza boda ndio siku unaweza okota boda mwizi.Uwiii ingeenda tena na leo aki ningekushauri tu urudi kwenye tecno🤣🤣
Aisee pole sana, me ningekua natetemeka hadi muda huu maana experience ya wezi ni balaa.
Ila hao boda boda vibaka wanafanya bodaboda wote waonekane wahuni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hatari sana yaani Upambavu hauna bei na hapo wanakuwa wametoka kuvuta bangi na mazungumzo yao sasa hivi ni mkataba wa Bandari utadhani hata zile boti za Azam kwenda Zanzibar wameshawahi kupanda. 😂
Ila vibaka bana 🤣🤣Hatari sana yaani Upambavu hauna bei na hapo wanakuwa wametoka kuvuta bangi na mazungumzo yao sasa hivi ni mkataba wa Bandari utadhani hata zile boti za Azam kwenda Zanzibar wameshawahi kupanda. 😂
😀😀😀Naomba kiundwe kikundi Cha kutoa pole 🤣🤣🤣😊 Pole yako nzuri sana kwa Muhanga 😂😂😂
Dola mia ya laki 2!! Unakuja kufa?? Ona sasa😂😂😂😂 Watu wa pande hizo wana tamaa sana kipindi fulani nilikuwa Zanzibar kuna Mmasai alitatuliwa na Waitaliano na Nnyaa kibao baada ya kuishobokea 100 dola mpaka alikufa.
Thank u AaliyahPolesana
Kuwa na boda wako ni muhimu sana, hapo angekua kibaka tu nae angeshiriki ungeibiwa.Hapo ndo wanaume waelewe mtu akisema ana boda boda wake. Hizi mambo za kuokoteza boda ndio siku unaweza okota boda mwizi.
Nina marafiki mko na hela 🤣 mngenipa tu nirudi hata kwa ka Xs aisee
Yan sikuwazia simu kabisa wala wallet.. nilikuwa nawazia funguo. Mkoba ulikuwa na funguo za sehemu konkiii mno kuliko hata vikaki kaki vilivyokuwa kwa wallet.
Anaenda kula?
Sanaa 🤣🤣🤣Dada Deborah wa form 4 liva, una Roho ya kichalii kabisa😂😂😂
Yaani saa 1 ndio wanafanya huo uhalifu mmh.Sanaa 🤣🤣🤣
Boda anashangaa why sibabaiki
Ye amebabaika mno, anasema yeye hajawahi shuhudia hao 3 mzuka kwa macho.
Kwanza ikifika saa 12 uwa anaenda nyumbani. Sasa mie leo nilimkaliza mjini mpk saa 1.
Tumefika home, nimeshuka natoa funguo nifungue gate. Anasema siondoki mpk uingie ndani 😂😂
na wanngenibikiri 😄😄Kuwa na boda wako ni muhimu sana, hapo angekua kibaka tu nae angeshiriki ungeibiwa.
Hahaa hizo funguo ndio zilikupa ujasiri wa kuhold mkoba kwa nguvu zaidi.
Daahh...pole Sana jioni Bora kutopanda boda kisualama Zaidi maana ni hatari Sana waweza jikuta unapata athari Hapo wangewadondosha sijui ingekuajeNasikiaga tu story zao hao 3 mzuka.. leo sasa uso kwa uso [emoji23][emoji23]
Mwaka wa 4 huu mjini af wao wanataka kufanya niichukie Arusha. Mbwa kabisa haya machalii un educated!!.
Ndio maana watu wa Dar wanayaambia yanatatuliwa rinda na wazungu sbb ni kama hizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nirudi kwenye hiace/ indrive gari. Boda za jioni mie basiiiii
Ila kwanini hukushtuka wala kuogopa🤣na wanngenibikiri 😄😄
Ile njia ina giza, haina taa za barabarani na magari sio mengi.
Yan acha 🤣
Kesho nikimuona boda wangu nitamche
Tucheke tu upya
Kaibiwa simu?Ikienda tunanuna nyingine tena, kwani sh ngapi
Shem darling si unae, hatakubali uteseka Jack Palladino
Mwanayamala,Kinondoni sio salama kabisa a friend of mine walimpora alikua anaongea na mtu pale maeneo ya Biafra[emoji1][emoji1][emoji1]Pole sana Miss Depal naona maeneo ya Mwananyamala wanafanya mpaka practical jinsi ya kupora maana wanakuwa watatu halafu wana practice [emoji58][emoji58][emoji58]
Nimetoka kuangalia callsYaani saa 1 ndio wanafanya huo uhalifu mmh.
Ila huku hata mchana unakwapuliwa tu, ukiwa unatembea pembezoni mwa barabara
Ndo kilichopo hichoooLenie in case of anything [emoji23][emoji23]
Maana naona hii simu haitaki niwe nayo.
Ikipotea tukose wote
Abaki na kopo, na venye password yangu ya Apple ID ilivyo ngumu.
Atauza skrepa.
View attachment 2657614