Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hatari sana yaani Upambavu hauna bei na hapo wanakuwa wametoka kuvuta bangi na mazungumzo yao sasa hivi ni mkataba wa Bandari utadhani hata zile boti za Azam kwenda Zanzibar wameshawahi kupanda. [emoji23]
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daahh...pole Sana jioni Bora kutopanda boda kisualama Zaidi maana ni hatari Sana waweza jikuta unapata athari Hapo wangewadondosha sijui ingekuaje
Everything happened for a reason
Ni kujifunza tu.
Sahivi saa 12 ikifika siendi na mkoba mjini, wala sipiti njia ya bia.
Wala sipandi toyo.
 
Sanaa 🤣🤣🤣

Boda anashangaa why sibabaiki
Ye amebabaika mno, anasema yeye hajawahi shuhudia hao 3 mzuka kwa macho.
Kwanza ikifika saa 12 uwa anaenda nyumbani. Sasa mie leo nilimkaliza mjini mpk saa 1.
Tumefika home, nimeshuka natoa funguo nifungue gate. Anasema siondoki mpk uingie ndani 😂😂
Kwa style hii sister ninaye😍😍, Depal
 
Back
Top Bottom