Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ankoliii na hii rangi sasa, ntazidi kutakataa nikitabasamu tyuuh bas watu wanakuja tawini kwangu kwa wingii, mie ntaafanya j3 hii kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅😅 kama kawa na kila kheri ile ya vodacom naona maji marefu sijakutonyaaa
 
Nawe pia mrembo. Weekend njema. Tuiombee Yanga tupindue majamvi yao. 💛💚
Hee Antonnia kwani ulitubless? Sijaona 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ rudia niko hapa dah
FB_IMG_16853104945552485.jpg

Bantu Lady, National Anthem
 
Nkamu umenipa hamasa..
Nimejiscrub mwili mzima na sukari+asali

Kangozi kameteleza hako nimependa[emoji2960]

Endelea kupost mara kwa mara
Nikiona tu post yako,lazima nitafute socks na kupaka parachute kwenye viwiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] urembo huuwezi, hadi umotivotiwe?? Woiiiiiiih
 
Back
Top Bottom