Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,432
Na ukifungwaaa🤔🤔, utatubeba leo😂😂🤗Tukishinda leo aiseee ntaanza na haka kaputin kalikojibatiza uarabu USM ALGER
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukifungwaaa🤔🤔, utatubeba leo😂😂🤗Tukishinda leo aiseee ntaanza na haka kaputin kalikojibatiza uarabu USM ALGER
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina dear...Ooh safari njema mamii. Mwenyezi Mungu awatangulie.
Maneeeenaaaaah ankoliiiii unanivurugaaaa, mbna najionaa km vilee naelekeaa kutoboaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Position za hela kama hizi [emoji28][emoji28][emoji28]
mie sasa hivi naendelea na shule nimeona isiwe case niajiliwe kipindi nasomaaa..
Job Title: M-Pesa Security Chapter Lead
ila hii imeisha pitaaa na maji
Mzee wa bao la mkonoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Mjulie hali sis anguu!!Mate check, unataka nifanye Nini Sasa🤔🤔
ila kupata kazi kwenye Telecom industry ni rahisi sana kama una ka mtaji ka kufanya baadhi ya certification za kimataifa.. inakuwa ni kugusaa tu..Maneeeenaaaaah ankoliiiii unanivurugaaaa, mbna najionaa km vilee naelekeaa kutoboaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuh hapa ukitoboaaa asalii unalambaa hadi nyuki wanaogoaa wooiiiiiih
acha nae nae huyoo, asi msumbue mdogo wangu kipenziii Lovelovie .. akwendeee zake. mapenzi niliyonayo kwa mdogo wangu yana mtoshaa kilaaa kituuu anapataaaa 😅😅😅Mjulie hali sis anguu!!
umemposti mke wangu mdogo hapoMzee wa bao la mkonoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nikifanikiwa kuamshia huko, wallah ankoliii nabaki huko huko sirudii tenaa hukuuu.mbele patamu kwa Japan ingawa wana complication vingii, ila kama unapata nafasi ya chuo kule mengine unajongeza kama upo smart unatoboa mazima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii sasa mbna watu mkeo wanampaka usoni, imekuaje tenaa??umemposti mke wangu mdogo hapo
Lovelovie 🥰🥰🥰 mdogo wanguu I love you .. ukuje hapo mdogo wangu miss youAsantreeeeeeh🕺🕺🕺!!
Kwa imani yangu, sitorudia Tena. Nimtakie kila la KHERI😐😑🤨Mjulie hali sis anguu!!
Tatizo lingnee ankolii hizi kazi unatakiwa nawe uwe na faranga za kutoa ili upate. Hapo mtihanii.ila kupata kazi kwenye Telecom industry ni rahisi sana kama una ka mtaji ka kufanya baadhi ya certification za kimataifa.. inakuwa ni kugusaa tu..
ndiyo nashangaa sasa 🙄imekuaje tenaa?
Bongoo pazuri banaa.. ukiwa na helaaa huko nje unaenda kutumbua bataaa ... hela bado ipo nyingi sana humu ndanii.. angalia sector ya bank au telecom au mining ule maishaMie nikifanikiwa kuamshia huko, wallah ankoliii nabaki huko huko sirudii tenaa hukuuu.
Ntafanya vyovyote nifanye uwezekano wa kutengeneza life la kuishi hukoo.
Graciaa papi, wish yah all da best😐😑🤨acha nae nae huyoo, asi msumbue mdogo wangu kipenziii Lovelovie .. akwendeee zake. mapenzi niliyonayo kwa mdogo wangu yana mtoshaa kilaaa kituuu anapataaaa 😅😅😅
Nasemaaaajeeeeee nasemajee...Kawa imani yangu, sitorudia Tena. Nimtakie kila la KHERI😐😑🤨
👉Imani muhimu, hauwezi amini.
Kuna certification ukiwa nazo hupati shidaa ankol.. hata kama utaanzia nafasi za chini chap utapandaa.. kikubwa upate gape . pitia technology za Huawei, Junipy, Nokia Siemens Oracle .. utapata mwanga.. kuna demu mmoja nilikuwa nafanya nae kazi kwenye mtandao mmoja hivi.. alikuwa na maisha kinomaaa badae aliondoka akaenda zake ma mbelee ,😅😅Tatizo lingnee ankolii hizi kazi unatakiwa nawe uwe na faranga za kutoa ili upate. Hapo mtihanii.