Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Nilishindwa kusema direct tu shem darling...hilo lipo wazi kabisa🤣😂😂😂 shemeji wa kuonewa huruma ni Mwachi
Nilishindwa kusema direct tu shem darling...hilo lipo wazi kabisa🤣😂😂😂 shemeji wa kuonewa huruma ni Mwachi
Kwa kweli [emoji23]Akiiii, we yako misosi tu[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Nkamu japo sipo hukohalafu njoo DM
Mimi tangu nimetafuta scrub tu
Ipo vilevile[emoji23]
Ile ya sukari na asali imejaa hadi nimetupa maana imekaa muda sana[emoji38]
Hebu ngoja niscrub miguu nivae socks[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mafuta nayoyakuta ninakofikia,hayohayo napita nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii
Mwee ngoja nitafute.Nkamu ukiweza tafuta ila Scrub ya botouee ya Coffee ni nzuri sn na laini haitokuumiza uso.
Hapo pa socks[emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nyau ww[emoji3][emoji3][emoji3]
Mwee ngoja nitafute.
Uso umeanza kutoka vipele mara kwa mara,,umejaa mafuta
Kitambo sijatumia scrub.
Kweli urembo kipaji[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tulia hapohapo,tunakupitia na shemeji tukulete nyumbani [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri nikitumia huwa naona kangozi kanalainikaUsichoke hata usipoona matokeo kwa haraka usiache kutumia
Muda siyo mrefu tunafika😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo haujapika keki au mkate, nije kuonja😁😁
Nimekuwa mvivuLeo haujapika keki au mkate, nije kuonja😁😁
Kwa mtu mwenye uso wa mafuta, inafaa??Usichoke hata usipoona matokeo kwa haraka usiache kutumia
Acha uvivu kwenye misosi, hujui hiyo ni hobby pendwa😍😍😂😂Nimekuwa mvivu
Kuna madogo wanasubiri hapa niwapikie.
😂😂 si life tuUna balaa😂, mpaka namisi jua jamani😔🏃♀️i😂
🤣🤣 shem darlin siku hizi umekuwa mkorofi sanaNilishindwa kusema direct tu shem darling...hilo lipo wazi kabisa🤣
Fanya Kama una ji snap, sio kwa ubaya😂😂😂na nimevaa nguo nusu 😂😂 iko zake magotini
hapa napiga radar nikalale