Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nkamu sio hobby yako[emoji1787]vitu vya kwanza kuweka huwa ni vipodozi hapa nna kipele Shavuni toka usiku nahangaika nacho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uki kitumbuaa kinachubukaa.
 
20230530_105338.jpg

Ukilipa Ada hakikisha na maendeleo ya Mwanafunzi unayafatilia hata kama Mzazi uliishia darasa la 4A kama Mimi🤪

Hello everyone 🥂
 
Nkamu sio hobby yako[emoji1787]vitu vya kwanza kuweka huwa ni vipodozi hapa nna kipele Shavuni toka usiku nahangaika nacho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi tangu nimetafuta scrub tu
Ipo vilevile[emoji23]

Ile ya sukari na asali imejaa hadi nimetupa maana imekaa muda sana[emoji38]

Hebu ngoja niscrub miguu nivae socks[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom