Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sitakubali napenda uhai wangu,Wanawake tunaweza kubali kuwa wake zaidi ya mmoja ila nyinyi labla mkufe mzaliwe upya ๐Ÿ˜ฌ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… swala la mda tu.. ingawa patachimbika sanaaa hiyoo sheria ikiletwaa na kupitishwaa . maana si mnataka haki sawa 50/50
 
[emoji28][emoji28][emoji28] kama kawa na kila kheri ile ya vodacom naona maji marefu sijakutonyaaa
Hebu nitonyeee ankoliiii, vawulencee hadi kwanguu?? Vibayaa hivyooo nishtuee na miee.
Kuna mtu niliwahi kaa nae yeye aliwahi kuwa Voda makao makuu, alisema kuna mtonyoo balaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vodacom makao makuu maisha yamelala kibongo kibongooo pesa ipo ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Wanao mjua intelli wa sasa, wanaelewa kuwa huwa natoa kitu kilicho Bora kutoka ndani yangu๐Ÿค—
๐Ÿ‘‰ Kama hauwezi niamini, kwa kila Ninacho fanya. Basi siwezi endelea kupanda mbegu kwenye mlima๐Ÿคจ๐Ÿ˜‘
Antonnia - nime tafasiri๐Ÿค—
Naona Unajitekenya na kucheka mwenyewe! !!

Nipo nimekaa paleeee... ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ kwa sauti ya Nyumbu
 
Hebu nitonyeee ankoliiii, vawulencee hadi kwanguu?? Vibayaa hivyooo nishtuee na miee.
Kuna mtu niliwahi kaa nae yeye aliwahi kuwa Voda makao makuu, alisema kuna mtonyoo balaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Position za hela kama hizi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
mie sasa hivi naendelea na shule nimeona isiwe case niajiliwe kipindi nasomaaa..

Job Title: M-Pesa Security Chapter Lead

ila hii imeisha pitaaa na maji
 
Nawe pia mrembo. Weekend njema. Tuiombee Yanga tupindue majamvi yao. ๐Ÿ’›๐Ÿ’š
Hee Antonnia kwani ulitubless? Sijaona ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ rudia niko hapa dah
Mweh nilitupia picha niko stand Singida shougaaangu!! .
Amina amina kubwaaa!
Kila lenye kheri kwa yangaaa๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’›
 
Vodacom makao makuu maisha yamelala kibongo kibongooo pesa ipo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] yeye alitoka now yuko ktk NGOs ya kimataifa, Arusha sio haba mpunga anao anao.

Aseeeh nitonyee, mwenzio natafuta na connection ya kusepea mambelee. Yaan nikipata chance tyuuh silembi naamshaa woiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mbele patamu kwa Japan ingawa wana complication vingii, ila kama unapata nafasi ya chuo kule mengine unajongeza kama upo smart unatoboa mazima
 
Back
Top Bottom