National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
ale chumaaaa 😅😅Nimeandika nikafuta nikaandika nikafuta nikaandika tena nikafuta........!!
ale chumaaaa 😅😅Nimeandika nikafuta nikaandika nikafuta nikaandika tena nikafuta........!!
aaah leo nitapita nae hata kumbeba mgongoni kwa lazima 😅😅😅😅 namtobolesha hadi saa mbili asubuhiiShida Tonia anawahi kulalaa, weekend na yuko likizo atoke kuruka majoka 😅😅😅😘
Mie nilifeliiigii ujueeee hata Sijaelewaaaaa.......!Wanao mjua intelli wa sasa, wanaelewa I never delivery and if I do so it's the best out of me🤗
👉 Kama hauwezi niamini, kwa kila Ninacho fanya. Basi siwezi endelea kupanda mbegu kwenye mlima😐🤨
Antonnia
ubebe na kabegi kako usisahu na maji ya kunywaa 😊😊Nakuja!!
Huku kwetu ni 4000 kasoro 200!! Sasa si utanifilisi!??😳😳Aisee, usije niitia mapolisi kisa Michelle wa buku 3 😂😂. Maana nabugia kilo mwenyewe😂🤗
midomoo hiyooo 😋😋😋 rangiii hiyoo dah.. ebu nimuone bibi harusiVijana wa hovyo wacha waendelee kukaza fuvu ndoa ni utapeli nishakula ubweche sasa hivi natafuta soda bariddiiiView attachment 2644730
Onyesha mfano!Anza wewe, naweka yangu fasta😀
Mali ya watu tayari 😁😁midomoo hiyooo 😋😋😋 rangiii hiyoo dah.. ebu nimuone bibi harusi
Ndio nasubiri 🛺 hapa....ubebe na kabegi kako usisahu na maji ya kunywaa 😊😊
Kabisaaa kipenziiii umeona eeehhh!! Tatizo huku Nyakiboo sasa😂Shida Tonia anawahi kulalaa, weekend na yuko likizo atoke kuruka majoka 😅😅😅😘
Onyesha mfano!
Mashallah mrembo 🔥🔥🔥🔥 mbona ubweche 🤣🤣🤣 na soda ya Pepsi baridiii unashushia bi mzuri...Vijana wa hovyo wacha waendelee kukaza fuvu ndoa ni utapeli nishakula ubweche sasa hivi natafuta soda bariddiii
Tualikane kula ubwabwa 🤗jamani, uchoyo haupendezi nuzuVijana wa hovyo wacha waendelee kukaza fuvu ndoa ni utapeli nishakula ubweche sasa hivi natafuta soda bariddiiiView attachment 2644730
Vijana wa hovyo wacha waendelee kukaza fuvu ndoa ni utapeli nishakula ubweche sasa hivi natafuta soda bariddiii
Hivi Kuna binadamu mbaya🙄😁😂Mashallah mrembo 🔥🔥🔥🔥 mbona ubweche 🤣🤣🤣 na soda ya Pepsi baridiii unashushia bi mzuri...
We si upo kwennye group la ndoa ni utapeli😁Tualikane kula ubwabwa 🤗jamani, uchoyo haupendezi nuzu
Umesahau kuwa mgeni Ni malaika🤗🤗😂Huku kwetu ni 4000 kasoro 200!! Sasa si utanifilisi!??😳😳
Usinipeperushie warembo😁😂😂, lini, wapi na kwanini😁😁We si upo kwennye group la ndoa ni utapeli😁