Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ I miss you my dear.

Wee si waliniban aisee
Jamani why???๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

Pole!! Glad you are back!๐Ÿค—
Nilishangaa kutokukuona kutwa nzima!๐Ÿ˜ฎ

Karibu ule ๐ŸŸ huku unanielezea sababu ya kupigwa ban.๐Ÿ˜๐Ÿ˜
20230530_141436.jpg
 
Ila weeeeee ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Jamani why???๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

Pole!! Glad you are back!๐Ÿค—
Nilishangaa kutokukuona kutwa nzima!๐Ÿ˜ฎ

Karibu ule ๐ŸŸ huku unanielezea sababu ya kupigwa ban.๐Ÿ˜๐Ÿ˜
View attachment 2640290
Kiepe kinavutia ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Nilikuta ban nadhani jumapili jioni hivi ๐Ÿ˜‚
Nikiangalia kosa ni la tokea May 23.
Nikaamka nikaenda zangu kunywa cappuccino, nishushe stress.

Nikaja hapa na vazi jipya, likawa halibambi nikasepa zangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nikaenda kuomba msamaha kwa Mods
Leo wakaniachia ๐Ÿ˜๐Ÿ˜


IMG_6674.jpeg
 
Back
Top Bottom