Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

kuna bajaji wanakera aisee kasema mwisho Ubungo tukapanda , tukamwambia tunashuka njia panda ya Chuo .

tumefika mataa ya Ubungo kaomba nauli tukampa , si akatushusha hapo kwenye mataa duh .

aisee alituweza ,tukamsema huku tukishuka .
Poleni sana, 😂😂 eti tukamsema huku tunashuka.
Mgemgombania tu kama mpira wa kona
 
Poleni sana, 😂😂 eti tukamsema huku tunashuka.
Mgemgombania tu kama mpira wa kona
heheh aturudishe buguruni tena
na ni bajaji 😂😂😂 .

Yaani kati ndo katushusha pale huku anakunja kona kurudi buguruni ..
 
  • Thanks
Reactions: 511
Kuna kipindi nilimtembelea mstafu flani kule kyela - ipinda. Ulikuwa msimu wa mavuni, asubuhi wanapika sufuria kwa la wali na maharage, hapo ni breakfast, lunch, dinner. Wali wa mawese, maharage mawese halafu bila chunvi dadeki😂

Shoo ikapigwa siku tatu mfululizo, ikabidi niombe ugali😅.
Uku ugali mda wote
 
  • Thanks
Reactions: 511
Nipo zangu kijijini uku mbeya galula sasa nimefika jion si ndo wenyeji wakajua nimefika nimeletewa ugal nimeona kama wananikomoa ase ugali wakula watu watatu nile mwenye dah 😂 Lenie mshamba_hachekwi Jack Palladino Mjep leo nimepatikana
usiposhindilia ugali hii baridi ya mbeya itakuua😂 na ulivokondeana 7°C itakunyoosha
 
Back
Top Bottom