Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,340
- 8,241
Ndio apo ndipo utakua haukai vizuri ishi vizuri na Tango ilo komwe liache lipate upepoMango?? Hahahaaa...
Kwakweli komwe linatakiwa lionekane 😊!
Ndio apo ndipo utakua haukai vizuri ishi vizuri na Tango ilo komwe liache lipate upepoMango?? Hahahaaa...
Kwakweli komwe linatakiwa lionekane 😊!
Wataka ya kujaa? Kiasi, fupi na rangi ama unataka muonekano gani mrembo?Nijie na metronidazole mjombaaa just in case🤣🤣😂😂!!
Hahahaaa...! Asante mkuuChukua Tango kwakwer🥚
Ndondo hawajatia mafuta ya taa kweli.Nisipoumwa tumbo leo sijuiiiiii![emoji119][emoji119]![emoji4]
Nishajizoelea Ugali ndondo mieee!!
Iyo sekta mie mtupuu shougaaangu kwa komwe Langu hili unaona lipi litanipendeza ??☺️Wataka ya kujaa? Kiasi, fupi na rangi ama unataka muonekano gani mrembo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu natumia app picha sioni, wee nilishakuambia unyoeee.cocastic Aaliyyah Bantu Lady Kapachino National Anthem Nisuke lipii??? Hapo ndio saluni ya kata nzimaaa[emoji3]
[emoji13]
Bon Voyage Wige
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Ndondo hawajatia mafuta ya taa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Suka Tango, maandalizi ya likizo siyo mchezo 😂😂😂😂😂😂. Atakayekusuka akusuke kama huyo, ili komwe lifichwe 😀😀😀😀Iyo sekta mie mtupuu shougaaangu kwa komwe Langu hili unaona lipinlitanipendeza ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii msiwafanyie hivyo watoto wa watu, hapo O level wasichanaa wapoo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Wanafunzi ndio wanaekewaaa kerosiniii[emoji23]
Sawa kipenzi asantee!! Nitamwambia msusi ajitahidi kulificha kwakweli!Suka Tango, maandalizi ya likizo siyo mchezo 😂😂😂😂😂😂. Atakayekusuka akusuke kama huyo, ili komwe lifichwe 😀😀😀😀
Kakaake
Wamekuwa jau hao siku hizi 😂😂
YebhoooKakaake
Kusalimia wapi maisha yamekushinda mjini!😅Nimeenda kusalimia nyumban
😂😂😂Kusalimia wapi maisha yamekushinda mjini!😅
Mbona unanichamba kisomi ivyoKusalimia wapi maisha yamekushinda mjini!😅