Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,324
Umekwenda kununua Ufuta nini huko?Nipo zangu kijijini uku mbeya galula sasa nimefika jion si ndo wenyeji wakajua nimefika nimeletewa ugal nimeona kama wananikomoa ase ugali wakula watu watatu nile mwenye dah 😂 Lenie mshamba_hachekwi Jack Palladino Mjep leo nimepatikana
Mwenyewe nilikuwa huko mwezi uliopita
Shuka na pale Mjele ukiweza, wanachoma mbuzi watamu sana pale