Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,329
Wakati huo nilikuwa nina mwili mdogo dogo, kwahiyo madogo wakawa wanahisi kama wanaweza kunimudu vile kwahiyo ilifikia hatua wananiandikia na barua kwenye madaftari yaoHahaa wewe jamaa una sifa ya kujizuia aisee mi ningekuwa naozea jela saivi. Maana sio kwa mitego ile
Ukishindwa kujidhibiti, unaweza kuharibu kesho yako kwa utamu wa dakika chache 😅