Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kiasi.. lift za hapa na pale.

Indrive ni kama uber. Huku unavyopick ride unachagua na aina ya gari( utaziona hapo zitakuja na bei zao.
Okay nimekupata aisee

mimi nikikodi huwa nachukuaga IST ,passo basi tu na siku hizi napenda bajaji since inapenya kwa foleni
 
😂😂😂 Ngoja Depal aone hili jibu lako.
Mwambie aseme ukweli alikuwa wapi asisingizie ban🏃🏃
Alipigwa ban ya miezi miwili ila kaachiwa huru baada ya siku 2
We huoni maajabu hayo?

Wacha tu niwe chawa wake kuanzia leo
 
  • Kicheko
Reactions: 511
😂😂 Ongea vizuri na watu wewe, hukuona Depal anasema jana alikuwa na kazi ya kulia na leo yuko free from ban😅. We kama uwezi kulia pole sana Lenie
Me navyojifanyaga nunda sasa 🤣🤣

Aki nianze kupractice kipaji kipya cha kulia sasa
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Back
Top Bottom