Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Aisee hongereni yenu 😂😂Watu wa Jf wote tuna magari, mjitahidi we na Depal mnunue jamani muondokane na kero za boda boda na bajaji
sie kutwa kulalama hapa
nashukuru napokaaa usafiri husumbui kihivyo , labda siku umechoka na hujisikii kupanda daladala .