Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
hakika mnahitaji jua la asubuhi pia ukipata na maziwa hapo pemben siku inaenda safi snaMarahaba mjukuu, nimeamshwa mapema leo niwahi kuota jua la asubuhi. Wanasema wazee tunapaswa kupata Vitamin D kupitia jua la asubuhi 🤪
Uwe na siku njema pia
nawe pia Babu, muwe na siku njema