Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Umeona hili kumbe, yaani kaingia rasmi. Ajipange sana hapo bado atakimbia yeye... Sisi Yanga hatujaanza ishabikia jana ππππππππππππππ! USM ALGER Katukaliajee kooni wana ππππ utadhani tumemuharibia kitumbua chakee walai mbona tunalooooπππ!