Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Hata wewe ndugu yangu? 😀😀😀😀😀 katika watu wote, nakutegemea ujue Wigelekelo na uko upande wa waarabu koko.
Hata wewe ndugu yangu? 😀😀😀😀😀 katika watu wote, nakutegemea ujue Wigelekelo na uko upande wa waarabu koko.
MshaukaliaHata wewe ndugu yangu? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] katika watu wote, nakutegemea ujue Wigelekelo na uko upande wa waarabu koko.
Semahehheee nilikuwa nashinda hapo sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli Wige 😂😂😂Sema
Haki ya nani
Utaenda na Mjep ?Kweli Wige [emoji23][emoji23][emoji23]
nitaenda kutembea hapo soon
Kimekukosea nini???🙄Tunakataa kitambi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzz hebu relaaaaaxxx kwani, kwa mpira gani mlonaooo wa kubadili matokeo kuleeeeee???cocastic mtrajejoooooooo sie[emoji169][emoji169][emoji172] hatuna habareeeeee tunajipanga tukabadili rekodii hukohuko kwa mbwa koko hao[emoji16][emoji16].. Sio kwa kuwewesekaaa hukuuuu [emoji23]!!!
Mzee wa kupambania kiatu kinamuhuuu [emoji1739]hakuna mwingineer[emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788]
Wee usinambieeeee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cocastic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeingia Twitter leo?
Naona wanamuumbua herode, wamefukua mafile yake ya zamani[emoji38][emoji38]
Umeshaona😂😂😂😂Wee usinambieeeee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebuu niendeee chapuuuuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani ila afadhari katutolea ahueni, kikatuni alizidii mnooo.Umeshaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe kaka herode ni muhuni mwenzetu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko winja winjaaa huko twitter, jamani umemuonaa mke wa herode?? Ni kisu balaaaaa.
Nime mdm coco kumchambaaaaa, leo hana hamu
Anavyojishaua na kikatuni wakee dadekiiiii.
Yaan kikatuni kazimwa hana hamu, tangu jana hayuko online, kisa kuwa EFM eti anatambia watu ana mshahara wa 7digits [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Herodee kamuungia juu kwa juu, aoneshe bank statements ya 3months, na vyeti vya O level.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambeeee,. Wapwaa na majobless tunamkaanga kikatuni na best yake Mapua. Woiiiiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅😅 naona sasa utopolo mnajificha kwenye kivuli cha magoli ya Mayelecocastic mtrajejoooooooo sie💛💛💚 hatuna habareeeeee tunajipanga tukabadili rekodii hukohuko kwa mbwa koko hao😁😁.. Sio kwa kuwewesekaaa hukuuuu 😂!!!
Mzee wa kupambania kiatu kinamuhuuu 🕺hakuna mwingineer🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️
Herode kajua kumnyamazisha kikatuni saivi kawa mtulivu kama kuku aliyemwagiwa maji ya baridi hana tena swaga za kujimwambafaiUmeshaona😂😂😂😂
Kumbe kaka herode ni muhuni mwenzetu tu
Nikimaliza kuvuna mazao yangu shambani, nitakwenda kutalii kuleUende utembeelee hapo Babu
Yeah pazuri sanaNikimaliza kuvuna mazao yangu shambani, nitakwenda kutalii kule
Nitajitahidi kufika kote hukoYeah pazuri sana
kama hii Udzungwa mountain national park ..
Vyema sana BabuNitajitahidi kufika kote huko
Marahaba mjukuu, nimeamshwa mapema leo niwahi kuota jua la asubuhi. Wanasema wazee tunapaswa kupata Vitamin D kupitia jua la asubuhi 🤪Vyema sana Babu
habari ya siku kwako
na Shikamoo babu ..