Usijareee mkuu!!Uni tag ,nisipitwe
Umetokea wapi we mtu🤣🤣🤣
Imekuaje umeachiliwa siku 2 akati ban ni ya miezi miwili??😂😂😂 udugu waliniwasha
Eti cha miezi miwili
Yesuuu ningewezea wapi mie
Weee 😂😂Umetokea wapi we mtu🤣🤣🤣
Nilikumisi jamani😔😍Weee 😂😂
Si unanijua venye navyojua kulia
Nimelia huko wee mpk nimeonewa huruma
Wee eti banned miezi miwili nyie jamani 😂😂😂😂😂nimelia sana jana😂
Miss u too bebe, uhali gani? Baridi ya jana vipi?Nilikumisi jamani😔😍
Mtoto mlito 😍
Pretty fine babe, how’s you? Ilikuwa balaa😞Miss u too bebe, uhali gani? Baridi ya jana vipi?
Morning Sumbai. Za wewe?
Nimeku bless na kapicha😂Mtoto mlito 😍
Dem lips for 💋😂😂😂
Ila jana 😂🤣 utadhani tulikuwa UlayaPretty fine babe, how’s you? Ilikuwa balaa😞
Kanaitwa kapicha ka welcome back 😂😂🥳Nimeku bless na kapicha😂
Vibaya mno😂Ila jana 😂🤣 utadhani tulikuwa Ulaya
Me niko safi, niliwamiss 😍
Ashukuriwe mod aliyeniachia
@KapachinoView attachment 2640094Tuesday [emoji7]
I am back na nguvu za ziada 😄Wee eti banned miezi miwili nyie jamani 😂😂😂😂😂
Sawa tuna maisha nje na jf lakini jf is a medicine somehow. Woi
😂😂😂 mwambie aje niko huruVibaya mno😂
Nikasema ndio basi tena hakuna wa kumuonea mshamba hachekwi😂
Simuoni tangu jana😂😂😂😂 mwambie aje niko huru
Tena waje na selfie wako shambani kwenye parachichi na mwenzake Mwachiluwi
Wangekupiga kwanza ban ya mwezi, ndio ushike adabu😂Weee 😂😂
Si unanijua venye navyojua kulia
Nimelia huko wee mpk nimeonewa huruma