Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naomba 1 totoo
baridi ni kali huku mwanangu 😂
{2D315A8D-C031-4D93-96C1-4C593DD28EA5}.png.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko winja winjaaa huko twitter, jamani umemuonaa mke wa herode?? Ni kisu balaaaaa.

Nime mdm coco kumchambaaaaa, leo hana hamu
Anavyojishaua na kikatuni wakee dadekiiiii.

Yaan kikatuni kazimwa hana hamu, tangu jana hayuko online, kisa kuwa EFM eti anatambia watu ana mshahara wa 7digits [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Herodee kamuungia juu kwa juu, aoneshe bank statements ya 3months, na vyeti vya O level.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambeeee,. Wapwaa na majobless tunamkaanga kikatuni na best yake Mapua. Woiiiiiiiiiiii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeondoka ziro soon nakutafuta ufungue kodi vzr
 
Back
Top Bottom