Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

unajua nikiwa uraiani mtu haamini km mie niko ktk taaluma ya mitamboo.

Sina life hilo kabisaaa, kuna siku tulienda ofisi Fulani na rafiki angu, kufika kule si nkamkuta jamaa ambaye siku ya graduu yangu ya 4m 6, akikuwepo yeye alikuja kwa ndugu yake.

Si akaanza kunihoji kuna watu walikaa pembeni acha washangae, kuna mdada pale pale alinipa 30k km pongeziii.
Hongera kipenzi 😍😍😍
Engineer Coca
 
Umeona eeehhh!! Mambo yanakua muruaaaaa kabesaaa!!
shangazi.. nina zalisha maziwaa hadi upite miezi sita ndio nifumani goli unajua surgery 😅😅😅.... kuku wa soup ya karangaaa ni mnono alafu anaongezaa vituu
Screenshot_20230521-212106.png
 
Back
Top Bottom