sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
DepayIle picha uliyoweka mbona siioni
DepayIle picha uliyoweka mbona siioni
😂😂 tonge mbili pale natoa😄😄
Njoo ule 😉
AbeeDepay
Hii portion ndogo ni Kwa ajili ya Sisi wanaume WA daslam
Pilau imeiva??Abee
Me sijala pilau leo 😂Pilau imeiva??
Pamoja na kuzidisha portion????😆😆😂😂 tonge mbili pale natoa
Ahahahah sawa mkuuView attachment 2630071
Mzee wa kazi mbona unaweka picha kama attachment ya email? Si uwe unaweka kama hivi?
ahah leo wageni wamenikomoa sanaChef Mwachi oyeeeee
No pilau ndizTuone na pilau basi.
Na chips chombeza zakujazia 😁Hii portion ndogo ni Kwa ajili ya Sisi wanaume WA daslam
Tuone sasa....No pilau ndiz
hehehee makubwaEhhh kama watatu hvi sema wababe
Sema mm mademu wababe sina mzuka nao maana mm mpole sana
hahaa eti mpoleEhhh kama watatu hvi sema wababe
Sema mm mademu wababe sina mzuka nao maana mm mpole sana
Sijaona kilichozidi palePamoja na kuzidisha portion????😆😆
Huyo nani ana marinate kuku?
hehehee makubwa
kuna wakuria watata sana
mie sijui kwa nn sio mkali
hahaa eti mpole
tuone upole wako .Mm mpole yani
Uoni mkono wangu 😂😂Huyo nani ana marinate kuku?