cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,093
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakimbiza tag, ni yeye huyooo.Hahahaha my furendi hayupo Azam [emoji23][emoji23] .
tena huyo wa azam niliambiwa mambo yake ..
Usinizunguke dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakimbiza tag, ni yeye huyooo.Hahahaha my furendi hayupo Azam [emoji23][emoji23] .
tena huyo wa azam niliambiwa mambo yake ..
Poa poa salamaleko....Niambie mambo vip
Yaw yaw [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naaam all the best.
cocastic ana tabia mbaya Sana,si akanizoom kwenye zipu!!Weee😂😂😂
😂😂Na wakati Sina akili 😀😀Poa poa salamaleko....
Wewe ungekuwa engineer mzuri saaana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nikiwa uraiani mtu haamini km mie niko ktk taaluma ya mitamboo.Hongera auntyangu lazima upasue wew kichwa wagoni hawana masikhara
Kweli dear , nimekuambia nilivyokutana naye , unahisi huyo wa Azam naweza kutana nae dukani tena buku Bunju 😂😂😂 .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakimbiza tag, ni yeye huyooo.
Usinizunguke dear
Hongera sana aunt 😍[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nikiwa uraiani mtu haamini km mie niko ktk taaluma ya mitamboo.
Sina life hilo kabisaaa, kuna siku tulienda ofisi Fulani na rafiki angu, kufika kule si nkamkuta jamaa ambaye siku ya graduu yangu ya 4m 6, akikuwepo yeye alikuja kwa ndugu yake.
Si akaanza kunihoji kuna watu walikaa pembeni acha washangae, kuna mdada pale pale alinipa 30k km pongeziii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wakati Sina akili [emoji3][emoji3]
Ningeangusha nyumba za watu tu [emoji23][emoji23]
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapaana.
Nikija kumsalimia mzungu
Uje kwa graduu November, uonione ndani ya Joho. [emoji8][emoji8][emoji8]Hongera sana aunt [emoji7]
Pumbavu zako😅😅😀😀😀Si ungemuonesha kidogo na wew
Ndio ulikua na Aaliyyah hapo leo mkuu! Mkitazama gemuMpo wapi? Yanga akifungwa leoView attachment 2630083
Hongera kipenzi 😍😍😍[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nikiwa uraiani mtu haamini km mie niko ktk taaluma ya mitamboo.
Sina life hilo kabisaaa, kuna siku tulienda ofisi Fulani na rafiki angu, kufika kule si nkamkuta jamaa ambaye siku ya graduu yangu ya 4m 6, akikuwepo yeye alikuja kwa ndugu yake.
Si akaanza kunihoji kuna watu walikaa pembeni acha washangae, kuna mdada pale pale alinipa 30k km pongeziii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂🚶🚶🚶Pumbavu zako😅😅
Sasa wa team ipi? KMC? [emoji23][emoji23][emoji23]Kweli dear , nimekuambia nilivyokutana naye , unahisi huyo wa Azam naweza kutana nae dukani tena buku Bunju [emoji23][emoji23][emoji23] .