Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ndiyo ya ligi kuuTeam inacheza league kuu? Au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
anacheza
Ndiyo ya ligi kuuTeam inacheza league kuu? Au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Julai zisi yia, yaani niko fainalisti, semesta ya mwisho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unawachungulia hao wakaka ukiwa umekalia wapi?? Unamaliza lini engineer wetu kuna Maua yako hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aunt nimekumbukaa kituu, ila bas tyuuh, haya mapenzi sometimes ni hisia jamani woiiiiiih[emoji3][emoji3]Mwenzangu Bora anipe Hela za vitunguu Hao wenyew utamsikia had boom sijui alafu vizungu vingi no thank you za kutosha niache aunt[emoji23][emoji23][emoji23]
Team ni Azam.Ndiyo ya ligi kuu
anacheza
Hahahaha welcome kitaaa.Julai zisi yia, yaani niko fainalisti, semesta ya mwisho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaliyyah[emoji3][emoji3]Mwenzangu Bora anipe Hela za vitunguu Hao wenyew utamsikia had boom sijui alafu vizungu vingi no thank you za kutosha niache aunt[emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha najua huyo pia ni mghana ila si yeyeTeam ni Azam.
Ngoja nitafute captain wao.
Niambie mambo vipAaliyyah
Nshakaribia, na mguu m1 tayari uko huko.Hahahaha welcome kitaaa.
Pambana na project!
Lazima ni yeye huyooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha najua huyo pia ni mghana ila si yeye
Unapenda mijegeja.Sio asubuhi, mwenzio hata chuoni, kazi yangu ni kutazama wanaume eneo LA zipuu tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mbna ntakufaa macho yana wadudu mweeeeeeh.
Aunt huna habari? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe auntyangu ni engineer mbona hamkunambia hongera mm nilitaka kusoma hiyo ila nikafeli fom foo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naaam all the best.Nshakaribia, na mguu m1 tayari uko huko.
Tutaishi humo, hakna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha my furendi hayupo Azam 😂😂 .Lazima ni yeye huyooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uc katae hapa.
Napenda sana mijegejoo, hiyo kitu ni tamuuu balaaaaah. Ni tibaaa pia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapenda mijegeja.
Niliwahi kuselfika hapa,ukazoom suruali na kuniambia mzee baba mbona Kama kidogodogo Sana. Nikaishia kucheka tu.
hizi sasa dharau 😂umeenda kucheza chandimu
Hongera auntyangu lazima upasue wew kichwa wagoni hawana masikharaAunt huna habari? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna nilishawahi post picha nikiwa sites na zile kaoshi zetuuu. Muulize shouuzz akee.
Usione najichetua hapaaaa, tunahangaika na mitamboo nje ya JF. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weee😂😂😂Unapenda mijegeja.
Niliwahi kuselfika hapa,ukazoom suruali na kuniambia mzee baba mbona Kama kidogodogo Sana. Nikaishia kucheka tu.