Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,212
- 29,374
Kabisa mkuu.Hakika twende tukamkabidhi mauwa yake mwanafunzi wetu WA selfika
cocastic usisahau kutualika tuje tukupe zawadi.
Kabisa mkuu.Hakika twende tukamkabidhi mauwa yake mwanafunzi wetu WA selfika
Muongo wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
broiller wa nini mie 😅😅 nakula vya kienyeji tu.. pure kienyeji nameza hata mifupa.. hapa badae napiga matunda mixer nazi na mihogo naunda mabao tuub😅😅😅Huyu kuku ni kienyeji au broiler? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sumbai unafeli wapi mzee? Mpaka unamuacha Aaliyah anaangalia soka peke ake aisee?My dear unajua nilivo alone juzi nimeumwa nusu kufa pekeyangu chumbani ningepata wa kuangalia nae game hivo si ningenenepa nduguyako 😂😂😂😂Yani ningecheza amapiano 😂😂😂😂
Nakosajee sasa kuwaalikaa, ratiba itawekwa wazi hapa mapemaa kila mtu mwenye nafasi ahudhurie.
Kumekuchaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]broiller wa nini mie [emoji28][emoji28] nakula vya kienyeji tu.. pure kienyeji nameza hata mifupa.. hapa badae napiga matunda mixer nazi na mihogo naunda mabao tuub[emoji28][emoji28][emoji28]
Huchezi chandimu wakishua?hizi sasa dharau 😂
Yale pia... Au London school of economics.Nataka MIT mie hela ikiruhusuu, nitafutie sponsors. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitoe ushamba MIT ni nini ??Nataka MIT mie hela ikiruhusuu, nitafutie sponsors. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzeee mwili unajengwa na mambo Kama hayobroiller wa nini mie [emoji28][emoji28] nakula vya kienyeji tu.. pure kienyeji nameza hata mifupa.. hapa badae napiga matunda mixer nazi na mihogo naunda mabao tuub[emoji28][emoji28][emoji28]
Unajua kucheza amapiano?My dear unajua nilivo alone juzi nimeumwa nusu kufa pekeyangu chumbani ningepata wa kuangalia nae game hivo si ningenenepa nduguyako 😂😂😂😂Yani ningecheza amapiano 😂😂😂😂
Tumekusema wapi 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitoe ushamba MIT ni nini ??
huogopi vya watu ???
sijui chochote kuhusu mpira 😅Huchezi chandimu wakishua?
Can't wait.Nakosajee sasa kuwaalikaa, ratiba itawekwa wazi hapa mapemaa kila mtu mwenye nafasi ahudhurie.
Tatizo mtonyo brohhz, unakuta naangukia tena Mawasiliano hapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yale pia... Au London school of economics.
Alafu aunt siku mtaniacha nakufa mkajua utani 😂🤣🤣🤣Muongo wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiwooooo!!! [emoji482][emoji482]Can't wait.