Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23]Ukipata wengi nipe mmoja nijiliwaze nifanye mazoez[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utachundaa huu mwakaa, huna handsome hata wa dawa, sasa unaishi ili iwejee?? Changamka weweeeeeeee
 
Mafile ya nn mie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niogopee?? sijaona kiumbe wa kunitikisa JF hasa kupitia files uchwaraaa, hayo mafile nitawapa mie mwenyewee wakayaweke waziii.

Kuna kiumbee yuko humu anajifanya ana details zangu, kazi yake kwenda kwa members anaona nazoeana nao kuwauliza km wananijua kwa undani. Afu member wa kiume nilishamkanyaa haelewiii.

Namuachaa tyuuh, siku nitakapoamua nitamuwashia humu humu ndani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😁😁😁😁! Utakua umemshika pabaya shougaaanguuu weee mbaaaayaaaaaaaaaaa😂😊!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utachundaa huu mwakaa, huna handsome hata wa dawa, sasa unaishi ili iwejee?? Changamka weweeeeeeee
Kwakweli niuawe tu 😂😂😂 Sina maana dah aunt una mahandsome kumi mm hata mmoja 😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]! Utakua umemshika pabaya shougaaanguuu weee mbaaaayaaaaaaaaaaa[emoji23][emoji4]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si bora angekua lijari ningesema nimpee akate kiu, kwamba kweli nimemshika pabayaa.

Itikadi zake unazijua? Acha nichekee anavyojitutumua humu ndanii mwenzenu nachekagaa hadi hoiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wenye mafile wamekutana [emoji23][emoji23][emoji23]ni kufailiana tu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa ni kufailiana km kumbukumbu za utumishii wa Tamisemi, kitengo cha interview za ajira.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si bora angekua lijari ningesema nimpee akate kiu, kwamba kweli nimemshika pabayaa.

Itikadi zake unazijua? Acha nichekee anavyojitutumua humu ndanii mwenzenu nachekagaa hadi hoiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ohoooooooohhh!! Mungu amrehemu tyuu huyo no way !
 
Usiku mwema wapendwa mrare unonoooo!!

Kesho nayo ni sikuuu✌️✌️!
 
Back
Top Bottom