Shikamoo auntWatu wangehaha mbona engineer wa mchongo 😀😀 ni mwendo maporomoko tu na nyufa 😂😂na nilivo mbishi Sasa
Mjep kwani auntyangu kapata penz jipya nn ndo kafungiwa hatak hta kutupa hi
Nimekumiss hadi naumwaa
Usisahau kuselfika tuzione zile lips za dhahabu