cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,068
SipajuiPa siku zote
SipajuiPa siku zote
KisuUmetumia nn kukatia 🥹
Na muda ulikuwa nao 🙌Kisu
sijamaliza bado iyo ni karot oho na tango tango nimemenya so bado ikikamilika nakuita😂😂Na muda ulikuwa nao 🙌
Kwahiyo umeacha kukata ukaja kuchat?sijamaliza bado iyo ni karot oho na tango tango nimemenya so bado ikikamilika nakuita😂😂
Heshima yako chiefHeri ya Dominika wana selfika
Salama chiefHabari wanaselfika
Poaaah!!"
mwanangu una ujuzi wa kukata perfect 😀
Salama kiongoziHeshima yako chief
kuna watu wanajua ngeli hadi raha 😂😂😂.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee
Woooooowwwww!!!![emoji1702]View attachment 2629910
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hukumpiga picha nawee?? Jomonee kuna mikaka mizuri wee acha tyuuh.kuna watu wanajua ngeli hadi raha [emoji23][emoji23][emoji23].
sio mie mpaka niload weh .
kuna siku nimekutana na footballer mghana nikasema haya ni mambo yako kabisa ..
jamaa is sweet basi tu nilizingua [emoji23][emoji23][emoji23]