Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,271
- 37,581
You serious ????
sina urembo mie [emoji23][emoji23]
Yah
Ww Ni mrembo bana umeumbika kuanzia unyayoni mpka kichwani kila mwanaume anataman kuwa na malkia mrembo kama ww nataka nikuweke ndani mapema