Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unapanga kuondoka unaambiwa classmate wako leo wanakuja kukutembelea ni zamu yako hawajui wengine sisi mabachela

Dr Lizzy bado nachukua ujuzi kutoka kwako hapo unanipa asilimia ngapi Mjep pita ukule leo siku ya wageni tu Gily kaaamua kunikomoa analeta classmate kumi leo
Unaendelea vizuri sana!👏🏾👏🏾👏🏾
 
Mwachiluwi
20230521_135502.jpg
 
Na tulikaribia kufika hahaa [emoji23][emoji23][emoji23]
siwawezi nasikiaga wahuni sasa mtu mgeni humjui , mmekutana tu dukani [emoji23][emoji23] .

Nilianza kumzoea , nikaamua nimchane siwezi , haikuwa rahisi but i had to .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nimechekaa mnooooo.
Kwann lakini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nimechekaa mnooooo.
Kwann lakini.
Sikumpenda aisee , i used him maana nilikuwa kapweke 😂😂

Ikabidi nimdanganye nimehama dar uwiii ,ili tusionane 😂😂😂 .

alivyokuja dukani , nilivyoona anaongea ngeli , nikamjibu weh
akachukua namba ili nimuelekeze maana hapajui na pia watu akienda dukani wanamuibia 😂😂

so toka mwanzo nilijua namsaidia tu basics za kuishi dar
 
Sikumpenda aisee , i used him maana nilikuwa kapweke [emoji23][emoji23]

Ikabidi nimdanganye nimehama dar uwiii ,ili tusionane [emoji23][emoji23][emoji23] .

alivyokuja dukani , nilivyoona anaongea ngeli , nikamjibu weh
akachukua namba ili nimuelekeze maana hapajui na pia watu akienda dukani wanamuibia [emoji23][emoji23]

so toka mwanzo nilijua namsaidia tu basics za kuishi dar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear kumbe nawee unadanganyaaaa, nimechekaa, kwann ulimfanya mghana n daraja kwako.
 
Back
Top Bottom