Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Strawbella haya fanya nismile sasa
Cuzoo baadae nitawabless usijali
Strawbella haya fanya nismile sasa
Haina noumaa shangazii usisahau kututagg tyuuu!!
Saa ngap za uko EACuzoo baadae nitawabless usijali
hahahahhahah...Saa ngap za uko EA
[emoji23][emoji23] Nipigie , i miss hearing your voice
Unaadimika hadi tunaogopa
Nmefurah kukuona cousin
Hapo nisamehe sana kulingana na miiko na mwongozo wa kazi yangu kuna watu wanajua hadi nywele zangu tuendelee kuchati tuu! Hapa pako poa sanaHaya tupia Selfie bas tukuone mgeni.
Sweet pie wee wa kunifungia vioo mie? Nakuona uko winja winja na wegine hapa jamvini.Habari sweet pie
Huku ni 16:47 jamenihahahahhahah...
Eeeh ndiwoooooo!!!!Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaaa Shangazi kitrambo sanaaa Kwako Strawbella
Una speed kakaHapo nisamehe sana kulingana na miiko na mwongozo wa kazi yangu kuna watu wanajua hadi nywele zangu tuendelee kuchati tuu! Hapa pako poa sana
Sent from my TECNO BD2 using JamiiForums mobile app
Binaa wee nawee, hayaa tulia kwanzaaBina umeanza makeke[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Tulia kwanza nitue mizigo ndio kwanza nimeingia ndani hata sijanywa maji kha![emoji2]
mmmh mbona wafanana kaka yangu PutinNipe namba yako basi maana mm mgeni humu [emoji41][emoji41][emoji41]
Amesema Atubless badae uzuri auntie hanaga mbambambaa kabisa najua atatupia!Eeeh ndiwoooooo!!!!
Hata sisi tuna miiko na muongozo wa kazi zetu, na kuna watu wanajua hadi vuzi LA kinyeo chetu, hebu tuma picha hapa.Hapo nisamehe sana kulingana na miiko na mwongozo wa kazi yangu kuna watu wanajua hadi nywele zangu tuendelee kuchati tuu! Hapa pako poa sana
Sent from my TECNO BD2 using JamiiForums mobile app
mmmh mbona wafanana kaka yangu Putin
Binaa wee nawee, hayaa tulia kwanzaa
Nipoo nasubirii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heheeee nimecheka wallahi 😂😂😂😂Sweet pie wee wa kunifungia vioo mie? Nakuona uko winja winja na wegine hapa jamvini.
Hivi ni umepata babee mpyaa anaitwa pretatahit, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya huu mwaka harusi tuwe nayoo.
Kabisaa atatupiaaaa baadae. [emoji23][emoji23][emoji23]Amesema Atubless badae uzuri auntie hanaga mbambambaa kabisa najua atatupia!