Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,313
Njema sana Ndugu mjumbe!! Karibu Tena selfika..Habari wanaselfika
Njema sana Ndugu mjumbe!! Karibu Tena selfika..Habari wanaselfika
Asantee namuulizia yule dada anaekula vyakula vizuriiii ila kiduchuu nimesahau handle yakeNjema sana Ndugu mjumbe!! Karibu Tena selfika..
Amina, asante sana kheri pia kwako mtu chake 🙏Bantu Lady heri ya jumapili, Neema na Baraka ya Bwana ,iwe nawe....Amen
Hapana aisee hayo yana wenyewe .. nayajulia wapi hayo .Mhhh mbona nasikia wapole kama nyie kitandani mnajua kuuchezea mkuyenge wa babu
Picha iko wapi wewe?Njema sana Ndugu mjumbe!! Karibu Tena selfika..
Kumbe saivi ni doktori watu wamebadili ID mnatutinganya jameniBila shaka Ni Dr Lizzy huyoo!! Atakuja ndugu mjumbe msubirie kidogo
naangaika ku edit kapicha aunty 😅😅😅 nisiche chomoa betry kapicha kenyewe nilikapigia sehemu hiviMjomba wangu National Anthem ndio umenifinda kunibless jamanee☺️😄???
Sauwaasauwaaa mjomba akeee tulia uedit kwa umakini usisahau kunitag mjomba!naangaika ku edit kapicha aunty 😅😅😅 nisiche chomoa betry kapicha kenyewe nilikapigia sehemu hivi
Hapana aisee hayo yana wenyewe .. nayajulia wapi hayo .
Ziko huko juu mkuu wee just scrow up utazikuta!Picha iko wapi wewe?
weyeeee tenaaaaa.. 😃😃😃Sauwaasauwaaa mjomba akeee tulia uedit kwa umakini usisahau kunitag mjomba!
Sasa mbona hukunitag na wewe?Ziko huko juu mkuu wee just scrow up utazikuta!
Tupoo tereeee mkuu... sema auntie Strawbella kitrambo sana hajatinga kutusabahi huku!!
Mie Sijatupia mkuu sina hata jipyaa!!Sasa mbona hukunitag na wewe?
Sawa mkuuMie Sijatupia mkuu sina hata jipyaa!!