Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,262
- 49,202
😂😂😂Kweli kabisa ungepiga mpunga wa nguvuKama ningekuwa na bet hapo tayari nimeshapata pesa 😂😂😂
😂😂😂Kweli kabisa ungepiga mpunga wa nguvuKama ningekuwa na bet hapo tayari nimeshapata pesa 😂😂😂
Atarudia hanaga bayaYeahh 🙂
Ila atleast niliwahi yako.
That's good kabisa 😊Et dishi limeyumba😂
Huwa Sipendi kukasirika hivo hata yakiwepo huwa hayana sehemu ya kukaa dishi halijayumba
Unakuta ina odd 3.5 unaweka laki 1😂😂😂Kweli kabisa ungepiga mpunga wa nguvu
Wigelekelo alinambia upo chuo labda sikumuelewa.. nikajua umekwenda kujiendeleza.Asante kwa kunitia moyo.
Ngoja nianze memkwa,nitaunga QT mdogo mdogo.
🙏🏼😁 Thanks.Gotcha!
Mi mzima wa afya, hopefully uko poa.Bomba, habari ya wewe
nipo humu humu ila nilipshana nayoWe ulikuwa wapi kwani???🥴🥴
📂 ntakutumia baadae, ngoja nili-update kwanza.🤓
I hope you know the long-term side effects za kukaa karibu na Microwave kipindi ina operate.
Me niko poa kabisa, it's a biurifo day.Mi mzima wa afya, hopefully uko poa.
Huyo anatumia mizizi kutoka Kwa Zulu natalMzee wa hall v
Sijui anatumia kizizi gani wige.
Kurusha ndoano zake na kunasa
Wakongweee Wana mbinu Sana Hawa wige.
Good morning
Antonnia UMISSETA huko kwenu vipi sie ndo kma
Timu langu limeshuka daraja ila ndo nalipenda hivohivo Depal hiviView attachment 2615282