myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Aisee, safi
Aisee, safi
SafiiiiSi Jumanne ishafika.....🤔View attachment 2614929
🤣🤣🤣🤣 Abiria anaiogopa chombo 🏍️🏍️🏍️🏍️ ya Mwana
Vibaya hivyo ukitoa pole na wewe maumivu huwa yanapotea bhana. Vipi kheri huko?
Maashalah 😀😀😀
😂😂Mm Sina maumivuVibaya hivyo ukitoa pole na wewe maumivu huwa yanapotea bhana. Vipi kheri huko?
Mbona mi yako sijaona???🙄Ondoa tu chap hamna watu
Wamesinzia
Arudie umuone mkaka mzuri sio hakiMbona mi yako sijaona???🙄
Shukrani kumbe umewahiMaashalah 😀😀😀
Hisia zangu zinaniambia una miaka 33Sawa wew bisha lakin mm mzee mwenzenu😀
Hakuna binadamu asiye na maumivu labda huyo ni mtoto mchanga au ni yule ambaye dishi limeyumba 😂😂😂😂😂Mm Sina maumivu
Huku poa Alhamdulillah
Hahah ndio waniamkie miak 33 ni mingi ujue😂Hisia zangu zinaniambia una miaka 33
Alafu itabidi niku follow sasa 🤣🤣🤣Shukrani kumbe umewahi
Kama ningekuwa na bet hapo tayari nimeshapata pesa 😂😂😂Hahah ndio waniamkie miak 33 ni mingi ujue😂
Et dishi limeyumba😂Hakuna binadamu asiye na maumivu labda huyo ni mtoto mchanga au ni yule ambaye dishi limeyumba 😂😂😂
Yeahh 🙂Arudie umuone mkaka mzuri sio haki
Karibu sanaAlafu itabidi niku follow sasa 🤣🤣🤣