Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Jitahidi tu apende/afurahie kwenda shule. Hiyo ndio hatua ya kwanza kuelekea kwenye uelewa/ufaulu mzuri maana hatohitaji kusukumwa sana.😀😀Kwakweli mm nawish mwanangu awe kipanga lkn mamaake nilirogwa kwenye hesabu yaani ni huzuni hesabu kumi naweza kupata tatu😂😂😂nitalipa ada tu kama @wigeleko