Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,557
- 35,783
Mselfike na #airtel#
Unatumia airtel ww msukuma
Mselfike na #airtel#
Well I was, unajua kuna mambo flani unashuhudia unahisi upo usingizini unaota, kumbe kumekucha.Kwani ndo umeamka??🙄
Jesus!!!!!!!!Oiiii national anthem nimeskia kafiliwa na wanawe wale mapachaaa
Gotcha!Well I was, unajua kuna mambo flani unashuhudia unahisi upo usingizini unaota, kumbe kumekucha.
Bomba, habari ya weweAsee utatisha sana, mambo vipi lakini mrembo?
Wigee kumbe nawe Uko vizureeee unashusha hadi bible verses hongeraa sana! Kweli Anne kakuza😂😂😂🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🤣!!Mathayo 7
Igweeeehhh!!😍😍😍!
Haya bwanaWapi ww mchoyo kivipi sasa cicy
Mi na selfika tu auntiee yangu Antonnia akitaka she's special bana au unamwonaje![]()
😍🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗😘 Asante jamani uwe na mchana mwema auntieIgweeeehhh!!😍😍😍!
Hakika asubuhi Yangu inaenda isha vizuuuuureeeeee kabisa Umependeza umevaa kiofisi wabheja sana auntie!!
😂😂😂😂 Haina noma sisy usimind sasa 😁😁😁😁😅
Wala hata.Mbona nami nilikuomba ukaniwekea. Najua kuna siku utaniwekea full bila kufichaHaina noma sisy usimind sasa
![]()
