Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
🤓🤓Nimeona wazazi mko vizuri mjitahid kuwasimamia ndo wategemez wetu badae
Yeahh, inabidi tupunguze vijana wa hovyo wa huko mbeleni.
🤓🤓Nimeona wazazi mko vizuri mjitahid kuwasimamia ndo wategemez wetu badae
Tuone Airforce zako 🙂
Haha nipe location kesho nifike na kibegi changu hapoTuone Airforce zako 🙂
Nataka kuona zakwako unazovaa.🤓Haha nipe location kesho nifike na kibegi changu hapo
ThubutuuHahah hongereni mm mzee mwenzenu pia
Kapachino
DuhMzee hongera Sana!
Dodo Hilo!
Huwa unatumia mbinu gani hivi we mzee!
Tupeane mbinu
Hutaki au😀Thubutuu
Hakika[emoji851][emoji851]
Yeahh, inabidi tupunguze vijana wa hovyo wa huko mbeleni.
Kirahisi hivyoHutaki au[emoji3]
😀😀Kwakweli mm nawish mwanangu awe kipanga lkn mamaake nilirogwa kwenye hesabu yaani ni huzuni hesabu kumi naweza kupata tatu😂😂😂nitalipa ada tu kama @wigeleko🤓🤓
Yeahh, inabidi tupunguze vijana wa hovyo wa huko mbeleni.
Nikuletee birth certificate 😂😂Kirahisi hivyo
Sawa Dr!Nataka kuona zakwako unazovaa.🤓
Ya mchongo[emoji1787]Nikuletee birth certificate [emoji23][emoji23]
Sawa wew bisha lakin mm mzee mwenzenu😀Ya mchongo[emoji1787]
Mzee wa hall vDuh
I wish ningekuwa educated
Sijui nimepatia[emoji1787]
Lugha ngumu sana hii
Una kisimasiSawa wew bisha lakin mm mzee mwenzenu[emoji3]
Mwenyewe nashangaa ujueMzee wa hall v
Sijui anatumia kizizi gani wige.
Kurusha ndoano zake na kunasa
Wakongweee Wana mbinu Sana Hawa wige.
Haha embu tuliza boli dogoSawa wew bisha lakin mm mzee mwenzenu😀
Na sikuhizi sentesi zake fupi fupi tuMwenyewe nashangaa ujue