Nakwako pia aunt nashukuru sana!!😍🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗😘 Asante jamani uwe na mchana mwema auntie
Huna baya na mtu
😉😉😉😉😉 One day,, one day yes sisy 😆😆😆😆😆😁😁Wala hata.Mbona nami nilikuomba ukaniwekea. Najua kuna siku utaniwekea full bila kuficha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako piaMuwe na wakati mwema wapendwaaa nilikuepoooooo!![]()
Asante kwa kunitia moyo.Nilishasoma na mama anatukulia class 20 years, She had already experienced a full life, alikuwa ana watoto wanatuzidi, sasa nitakupa story ilikuaje akarudi shule na huo umri, ilinifunza kitu kwamba kwenye maisha its not too late to become unachotaka. Ni miaka imepita sasa, aligraduate na alikuwa moja wanafunzi waliofanya vizuri sana. Alituma barua kumualika ex husband wake kwenye graduation yake na juu ya envelope aliandika f__ck you, nitakupa kisa ilikuaje.
beibiii Lenie huku ni wapi 😂
nitakupeleka siku moja tukale bata 😂Kwa wakubwa huku, huwezi gharama zake 😅
Hakuna msosi wa aftatu hapo ujuenitakupeleka siku moja tukale bata 😂
chochote kwa ajili yako babe....Hakuna msosi wa aftatu hapo ujue
Totoo umejipanga eehchochote kwa ajili yako babe....
kabisa kabisa kuna mkeka nimebet hapa 😂 ukitick nakuja kukumwagilia mamilioni.....Totoo umejipanga eeh
Nasubiria kwa hamu😋kabisa kabisa kuna mkeka nimebet hapa 😂 ukitick nakuja kukumwagilia mamilioni.....
Mbona kidogo sana chief
Ase nimeshiba mpaka nikasema nioge nipunguze shibeMbona kidogo sana chief
Utashiba kweli??