Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naaam

Mambo ya usiniumizeeee.

Nilikuwa napenda saana kuangalia netbal wakicheza.

I don't know why
Hahha unapenda kuangalia vimini wew
😂😂Umenikumbusha nipo chuo nilikuwa nacheza snaa netball nilikuwa na vaa suruali au track siku moja kulikuwa na mechi nikavaavile visket natait bila suruali ndani na soksi ndefu 😂😂 wee siku ya pili watu weamka na nyimbo wananitaja na jina ninawatega 🤣🤣🤣sikurudiq Tena ninukuu wimbo
Wee ......(wanataka jina)mbona umevaa kimini
Wavulana wengine wanaitikia Kwa sauti unatutega aisee nilichoka 🤣🤣🤣alafu nilikuwa nimekaa mbele😂😂😂
 
Hahha unapenda kuangalia vimini wew
[emoji23][emoji23]Umenikumbusha nipo chuo nilikuwa nacheza snaa netball nilikuwa na vaa suruali au track siku moja kulikuwa na mechi nikavaavile visket natait bila suruali ndani na soksi ndefu [emoji23][emoji23] wee siku ya pili watu weamka na nyimbo wananitaja na jina ninawatega [emoji1787][emoji1787][emoji1787]sikurudiq Tena ninukuu wimbo
Wee ......(wanataka jina)mbona umevaa kimini
Wavulana wengine wanaitikia Kwa sauti unatutega aisee nilichoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]alafu nilikuwa nimekaa mbele[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom