Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣 Mm nimebadili ratiba ya kula nakunywa sana juis fresh usiku hivo nakuwa nakula chakula kidogo sana napiga juis glass 2😀SAS sijui napunguza au naongeza nyie🤣🤣
Shida mimi nikinywa juice nyingi au maji hasa usiku nakesha kwa kwenda msalani😁😅😅
 
Kwani hiko kitambi Mkwe wangu Mjeshi kasema hakitaki?

Kwamba kinafunika mchi wakati wa kutwanga karanga🙈🏃🏃🏃🏃

Mwambie hiyo ni ishara kuwa anakuhudumia vizuri 🤪
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!

Eendiwoooooo babuuu yuko vizure sanaaaaa hata hakimzuiii kabesaaa weeeeeeeeehh😁😁😂
Tatizo mjukuu wako nikinenepaa
najaaa kotree mbele na nyumaa babuuu !! 😁
 
Usijareee kabisa mnywanii wewe treinaaahhhh sema kingineee!
Haha ntamsimulia mzee wa hall v

Afu ntaongea nae pia arudi nyumbani nimeshamwambia huwa aikomolewi.
FB_IMG_16829620736980479.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!

Eendiwoooooo babuuu yuko vizure sanaaaaa hata hakimzuiii kabesaaa weeeeeeeeehh😁😁😂
Tatizo mjukuu wako nikinenepaa
najaaa kotree mbele na nyumaa babuuu !! 😁
Bora wewe best unajaa nyumaa wengine tukinenepa tunanenepa mikono tumbo na kichwa yaani kama simba 🤷🏼‍♀️😬😬
 
Back
Top Bottom