Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiimmbaaaa🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗🤗
Achana naye chizi huyo. Wenye dhamana ya kusimamia mpira wa miguu hapa Afrika wana takwimu yao. Naomba unitafutie Yanga hapo ya ngapi hapa Afrika Antonnia

Screenshot_20230501-163846_Chrome.jpg
 
Marahaba Mkwe

Ila ukweli wa Mungu, Sina hamu na Mkwe wewe, yaani umekaa na Mjukuu wangu miaka 3 sasa mnapika mnapakua pamoja eti unampa uzoefu wa ndoa.

Yaani usipomwoa lazima nikuendee Nigeria [emoji2957]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bakii hapaa hapaa bongoo babuu !!
Ndio ulidinda mazima kutubless wajukuu zako granpah eeh??😉🤗
Miaka ya zamani Kudinda kulikuwa na maana tofauti na hii ya hapa, sijui una maana ile ile ya mwaka 47 au ndiyo maendeleo ya Kiswahili kubadirika kulingana na Wakati 🙈🏃🏃

Nikipata miwani yangu ya Macho lazima nitaweka moja hapa, saivi Simu yangu ameshika last born wangu 🤪
 
Hahahaaa...
Haya nasubiria upate miwani babuu!
 
Back
Top Bottom