Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Atakuwa karudi ngorongoro kujipanga!!Hahahaaa...Aongee na Mjomba National Anthem ampatie mdinda dindaaaa 😂!
Ma range Rover hayo inabidi uwe vizuri Sana mnywani. Tena usiwe na papara kabisa.
Atakuwa karudi ngorongoro kujipanga!!Hahahaaa...Aongee na Mjomba National Anthem ampatie mdinda dindaaaa 😂!
Labda hela ziisheHahahaaa.. itafika wakati ataikinai mwenyewe mnywaniii aile taratibuuu hio ipo niyake tyuuu!
🤣🤣🤣🤣Bora wewe best unajaa nyumaa wengine tukinenepa tunanenepa mikono tumbo na kichwa yaani kama simba 🤷🏼♀️😬😬
Wee tatizo mbelee kunazidiii hadi Sio poaa!!Bora wewe best unajaa nyumaa wengine tukinenepa tunanenepa mikono tumbo na kichwa yaani kama simba 🤷🏼♀️😬😬
Banaaa weeee ukizoea unaaanza itelekezaHaha ntamsimulia mzee wa hall v
Afu ntaongea nae pia arudi nyumbani nimeshamwambia huwa aikomolewi.
View attachment 2606493
sumbai embu toka mafichoni uko! Kuna vitu unavyopenda kuangalia wewe na Wigelekelo mzee wa pochi neneHellow
🤗🤗🤗🤗🌃💤 Asante auntUsiku mwema wapendwa mrare unonooo😴😴😴😴😴😴!
Haha wazoefu wa hizi kazi!Banaaa weeee ukizoea unaaanza itelekeza
Nawe pia kipenzi 😍❤️Usiku mwema wapendwa mrare unonooo😴😴😴😴😴😴!
Mnywani Sasa unaondakajeUsiku mwema wapendwa mrare unonooo😴😴😴😴😴😴!
Sina hata mpya mnywanii labdae nikuangalizie angalizie yoyote ntayoikotaa kwa gallery hapaaa ☺️Mnywani Sasa unaondakaje
Ngoja nifutesumbai embu toka mafichoni uko! Kuna vitu unavyopenda kuangalia wewe na Wigelekelo mzee wa pochi nene
Looking so beutiful mkuu
shingo tu mnywaniSina hata mpya mnywanii labdae nikuangalizie angalizie yoyote ntayoikotaa kwa gallery hapaaa ☺️
Usitoke hapoo mnywaniiNipo hapa nawasubiri na mbantu
Lala unono kabisa mnywani
Daaah! Kuna wanetu wanakojolea pazuri aisee 🤔