Hahahaaa.. nadhani kwa baadhi yetu cha uzazi kutoka ni ngumu sana!Kuna siku mpaka nilimtania dear ajaribu kuchepuka nijue nikiwa na mawazo labla kitaisha alicheka mno 😁😁
Fanya hivoo Jioni yetu iende vizuri babuuu wajukuu tunasubiria hapaaa 🙇🙇🙇🙇Natupia soon, ila msicheke mapengo ya Babu yenu tu 🤪
Asitufanyie hivo watoto wa mwanaume mwenzie eti😁!Si unajua wazuri wanalinga best 😁😁
Ukiacha kula ugali unakufa😁😁Lol kumbe itabidi nipunguze kufakamia wanga sasa santo sana!
Kwa kweli mwili unabadilika kabisa ila ukiwa na nia kinaisha kipenzi nilianza mazoezi dada yangu yeye kwa sasa yuko vizuri kitambi kimeisha mimi mazoezi yalinishinda ya kutoa kitambi.Hahahaaa.. nadhani kwa baadhi yetu cha uzazi kutoka ni ngumu sana!
😂😂😂😂! Weee Naachaje navopenda ugali mimii ndiomana kutrambi hakiishi walai😂😂😂!Ukiacha kula ugali unakufa😁😁
Kuna mtu aliweza, yaani muda huu ndiyo anakula chakula cha usiku. Aliacha kula dinner sijui kuanzia saa 2 usiku na kuendelea. Kama unaweza hili hadi mwili unapungua.Lol kumbe itabidi nipunguze kufakamia wanga sasa santo sana!
Ngoja namie nihitahidi kwenye diet nione! Ila navopenda kufakamia sasa😁😁😁😂!!Kuna mtu aliweza, yaani muda huu ndiyo anakula chakula cha usiku. Aliacha kula dinner sijui kuanzia saa 2 usiku na kuendelea. Kama unaweza hili hadi mwili unapungua.
Shida mimi nikisikia njaa hata usingizi haupatikani kwa kweli 😬😁😁Kuna mtu aliweza, yaani muda huu ndiyo anakula chakula cha usiku. Aliacha kula dinner sijui kuanzia saa 2 usiku na kuendelea. Kama unaweza hili hadi mwili unapungua.
Kipenzi ukishinda mtihani huo kitambi bye bye mimi nimeshindwa mahanjumati napika mwenyewe kisha wale wenzangu 😬Ngoja namie nihitahidi kwenye diet nione! Ila navopenda kufakamia sasa😁😁😁😂!!
Hapanaa tuma kitu furuuuu auntiee Nilitaka kupishana na blessings kumbe ngoja nisubirie kwanza!Antonnia Bantu Lady nimeamua kujilipua je niwatumie passport size 🤔🛂?
Uwe na matunda, korosho, karanga hata tende. Ukiamka usiku njaa inauma unakula hivyo.Shida mimi nikisikia njaa hata usingizi haupatikani kwa kweli 😬😁😁
Rahaaa jipe mwenyewe kwakweli mwili ukiamua kufumuka unajifumukia tu hata ujibane vipi!Uwe na matunda, korosho, karanga hata tende. Ukiamka usiku njaa inauma unakula hivyo.
Mimi imenishinda nakula vitu navyopenda, nikitamani Pizza nakula, nikitamani chips kuku nakula, lini nitapungua na mwili unaridhika 🤣🤣🤣🤣