Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Nawe pia kipenziMuwe na jioni njema wapendwaaa ✌️✌️✌️
Nawe pia kipenziMuwe na jioni njema wapendwaaa ✌️✌️✌️
Full subiri kidogo 😁😁Hapanaa tuma kitu furuuuu auntiee Nilitaka kupishana na blessings kumbe ngoja nisubirie kwanza!
Akhsaaannteeeeehhh 😍😍😍! Uchebe kama wotreee auweeeeehhh!!!Nusu passport hiyo kwanza 😁😁😁😁
View attachment 2606413
Bantu Lady auntie katusapriz hukuuuu!!Nusu passport hiyo kwanza 😁😁😁😁
View attachment 2606413
Haya nasubiria hio badae!Full subiri kidogo 😁😁
Shukrani shida nipogo rafu sana lol 😁Akhsaaannteeeeehhh 😍😍😍! Uchebe kama wotreee auweeeeehhh!!!
.Hapo Fanya kama unauchonga vizuri nanywele pia shevu kidogo auntie utapendeza kinoumaa noumaaa!!
Santo sana!
😂😂😂😂 maneno ya mkosaji hayoHata haishtui mashindano yenyewe ni ya waliofeli klabu bingwa
Fanya wepesi uoe mwali atahakikisha unakua msafi sana!!Sh
Shukrani shida nipogo rafu sana lol 😁
Mzanzibar weye? Kakorofi ka JF hako. Asante kwa kutublessNusu passport hiyo kwanza 😁😁😁😁
View attachment 2606413
🤫🤫🤫🤫🤫 Nani mkorofi bwana mi sina baya na mtu piga kimya muone kwanza 😁😁😁😁😁Mzanzibar weye? Kakorofi ka JF hako. Asante kwa kutubless
Auntie aoe wifi atahakikisha anakua msafii na mtramuuu zaidi kinoumaaa 😂🤭!Mzanzibar weye? Kakorofi ka JF hako. Asante kwa kutubless
Bichwa lako 🤣🤣🤣🤣🤣🤫🤫🤫🤫🤫 Nani mkorofi bwana mi sina baya na mtu piga kimya muone kwanza 😁😁😁😁😁
Muda ukifika ntafanya anyway nipoFanya wepesi uoe mwali atahakikisha unakua msafi sana!!
🤣🤣🤣🤣🤣Ila madamBantu Lady Aaliyyah cocastic Nuzulati Naombeni tips za kupunguza kitrambiii!☺️
Nina kitambi msambao kimesambaa hapa chini ya kitovu 😂😁!!
🚶🚶🚶🚶🚶🚶,,,,,, 💨💨💨💨😁😅😅Bichwa lako 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaha...........na mvi zote hizi kichwani 🙈🏃🏃🏃Si unajua wazuri wanalinga best 😁😁
😂😂😂Hiko kimekomaaMwenzio nimekunywa maji ya moto yaliyo changanywa na ndimu mpaka nimechoka nikivaa nguo ya kubana kinachomoza 😬😁😁
Hasa usiku Anza na kupunguza kula wanga usiku kama ni chakula weka mboga nying kuliko msosi wenyewLol kumbe itabidi nipunguze kufakamia wanga sasa santo sana!
Huyu kataa ndoa Aunt Tonnia. Anajiweza yeye mwenyewe, sijui ni mkono mmoja.Auntie aoe wifi atahakikisha anakua msafii na mtramuuu zaidi kinoumaaa 😂🤭!
Huyu kataa ndoa Aunt Tonnia. Anajiweza yeye mwenyewe, sijui ni mkono mmoja.