Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,994
- 48,497
Mvi hizo kwioo🤣🤣🤣Hahahaha...........na mvi zote hizi kichwani 🙈🏃🏃🏃
Mvi hizo kwioo🤣🤣🤣Hahahaha...........na mvi zote hizi kichwani 🙈🏃🏃🏃
MMMH SIJAPENDA KWA KWELI 😁😁😁Huyu kataa ndoa Aunt Tonnia. Anajiweza yeye mwenyewe, sijui ni mkono mmoja.
Hivi kumbe kupiga picha ni muhimu kuweka Pozi, naona Bibi yenu ananiambia niweke dole ya hivi eti ndiyo nitapendeza👍🤪Fanya hivoo Jioni yetu iende vizuri babuuu wajukuu tunasubiria hapaaa 🙇🙇🙇🙇
Hahahaha...................mvi kama za Mzee mwenzangu Edo 🙈Mvi hizo kwioo🤣🤣🤣
Kwani hiko kitambi Mkwe wangu Mjeshi kasema hakitaki?Bantu Lady Aaliyyah cocastic Nuzulati Naombeni tips za kupunguza kitrambiii!☺️
Nina kitambi msambao kimesambaa hapa chini ya kitovu 😂😁!!
Kweli changu kitambi mkomao 😬😂😂😂Hiko kimekomaa
Mm nikifanya diet wiki mbili nakuwa flat ila kujinyima kula ndo nashindwaga 😂😂
Hakitaki bugudha 🤣🤣🤣Kweli changu kitambi mkomao 😬
Nilisema meno yaliyotoka ni ya Mbele tu, ila ya kutafunia Korosho yapo tu Mjukuu
😀😀😀Ila watu mna manenoKwani hiko kitambi Mkwe wangu Mjeshi kasema hakitaki?
Kwamba kinafunika mchi wakati wa kutwanga karanga🙈🏃🏃🏃🏃
Mwambie hiyo ni ishara kuwa anakuhudumia vizuri 🤪
Karibu San zipo za kutosha sema shida baridi Kali sitaki kula nyingi 😂😂😂nitakutumia zingineNilisema meno yaliyotoka ni ya Mbele tu, ila ya kutafunia Korosho yapo tu Mjukuu
Looks so delicious 😋
🙈🙈😀😀😀Ila watu mna maneno
Na baridi la huko Mjukuu ni kali sana, Hivi Mkwe wangu bado hajarudi tangu aende kuwapatisha Urusi na Ukraine kwenye ile vita yao?Karibu San zipo za kutosha sema shida baridi Kali sitaki kula nyingi 😂😂😂nitakutumia zingine
Tena kikijua nakipunja chakula sipati usingizi usiku 😁😁Hakitaki bugudha 🤣🤣🤣
Anaonekana mwanaHahahaa hakika mkuu 3some MFM
Hajarudi Babu nafanya mawasiliano nijue Bado yupo au nishaachwa ukute vita iliisha akapata mrusi 😂😂😂Na baridi la huko Mjukuu ni kali sana, Hivi Mkwe wangu bado hajarudi tangu aende kuwapatisha Urusi na Ukraine kwenye ile vita yao?
Fanya Unitumie Mjukuu, Daktari alinishauri kutokana na Umri wangu niwe nakula kila siku kuondoa baridi 😜
🤣🤣🤣 Mm nimebadili ratiba ya kula nakunywa sana juis fresh usiku hivo nakuwa nakula chakula kidogo sana napiga juis glass 2😀SAS sijui napunguza au naongeza nyie🤣🤣Tena kikijua nakipunja chakula sipati usingizi usiku 😁😁
Hatimae umechomaView attachment 2606308
Maandalizi ya kuhamia Burundi kama tulivyoshauriwa na Mtunza Kibubu chetu
Hello Monday![]()

Dogo una vitukoHahahaha..........thanks for the tips Mjukuu
Ningekuwa Kijana haki ya nani ningepambania kombe kama wanavyosema Vijana.
Bahati mbaya Mvi zangu hazisikii Piko. Yaani nimepaka Piko hadi ile anayopaka Donald Trump lakini imegoma Mkuu![]()

Hahahahaa kitu laini mbili ni mwendo wa kubadilishana vitobo vya utamuAnaonekana mwana
Tena anapiga miguu yote
Imetulia