Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Salama tu , maisha yanasemajeMimi mzima Mamy
Za wewe?
Salama tu , maisha yanasemajeMimi mzima Mamy
Za wewe?



InasemajeHamsikiii baridi
Wameziba masikioHamsikiii baridi
Mfanyie wepesi aende hata pale beach Kidimbwi tu 🤪😅😅 basi asubiri amalize chuo kwanza mabata yapo tu
Kijana angalia, ukijichanganya kwa wajukuu zangu lazima nikuoze kwa nguvu 🤗
Unaonja alafu mchana unakula ugali wako mzito!! Jaribu kama National Anthem 😁Tuliozoea kula ugali asubuhi badala ya Chai hapa tunaona ni kama kuonja tu 😜
Kuna mambo yanahitaji majaribio lakini sio kwenye kula 🤪Unaonja alafu mchana unakula ugali wako mzito!! Jaribu kama National Anthem 😁
Hata haishtui mashindano yenyewe ni ya waliofeli klabu bingwaWewe jinyonge tu na kombe tunachukua
Upaja huo na kile kikuku 😍😍😍
Maneno ya mkosajiiiii🤗🤗🤗🤗🤗🤗!!Hata haishtui mashindano yenyewe ni ya waliofeli klabu bingwa
Na hii hatua mliyofikia ndo mwisho wenu mnatolewa niko pale nimekaaManeno ya mkosajiiiii🤗🤗🤗🤗🤗🤗!!
Mchawi sio lazima arogeee 🕺🕺!Na hii hatua mliyofikia ndo mwisho wenu mnatolewa niko pale nimekaa