hahahaha sio . Napenda tu matundaItakua mimba dea sio buree.![]()
hahahahaKalivyo kapole hivyo
Kwani kameshaanza
Kufanywa matusi?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mambo mdadahahahaha
namshukuru Mungu vipi weweMungu ni mwema,sijambo.
Za j2??
poa za mudaMambo mdada
Saaaafiiiiiiii za miaka mdadapoa za muda
nzuri tuSaaaafiiiiiiii za miaka mdada
Nipo sana humu nazurura tuumepotea sana data mzuri
Wewe mwamba huwa unanichekesha sana, mtu akuchukulie siriaz sasa!!🤣😅😅 machimbo karibia yote dar es salaam nimemaliza , sio ya kishua wala kiswazi na sichaguagi chakula asee 🤣🤣🤣
Leo hali ya hewa nzuri sana
Good good za hukooNipo best
Mzima wewe?
NipooMpoo nijitose

Naaam wakili wasomiWeek ya Sheria .View attachment 2491820
Wapi hapa mzee? Mkopo upo?
Tulia basi mkuuu.Manunu
Man ukakasi
Man ukoko
Man untd
Mmefikisha point ngapi?
Nawasalimia tu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app