Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,263
- 49,203
Asante nami piaNimefurahi kukuona sophy!
Asante nami piaNimefurahi kukuona sophy!
Bantu Lady lady yupo na handsome wake chumbani huko hotel ya nyota tano.. 😅😅
Mkuu, nipo dawati la jinsia na watoto ofisi za RCO kwaiyo hivi visa navipata sana na wakati mwingine tunaingia field kwenye patrol za usiku... ila mie hayo mambo mie siyajui 😅😅😅Wewe mwamba huwa unanichekesha sana, mtu akuchukulie siriaz sasa!!🤣
nafurahi sana kukuona mototo mzuriNipo sana humu nazurura tu
kuna mtu nilikuja mla baada ya miaka mitano 🤣🤣🤣na tukumbuke hakiba haiozi au sio
mkuu unataka kwenda kusalimia nini ? Nitakuja kukukamata kwa kosa la uzurulajiWapi hapa mzee? Mkopo upo?
Maneno Makali saana.Bantu Lady lady yupo na handsome wake chumbani huko hotel ya nyota tano.. [emoji28][emoji28]
Na uhujumu uchumimkuu unataka kwenda kusalimia nini ? Nitakuja kukukamata kwa kosa la uzurulaji
😅😅😅 huoni ka hari ka hewa... anafurahia nyama ya mnyonge tu sasa hiviManeno Makali saana.
😅😅😅 lazima tukukamue pesaNa uhujumu uchumi
Huyu c mzazi mwenza wa Beka flavour
Wee piemu hupajui kwan bas nipe hapa hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nielekeze njia ya kuja piemu sasaa[emoji4]
Weee em sema kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha sio . Napenda tu matunda
ila analiwa tu 😅😅😅 madamu ana tunduHuyu c mzazi mwenza wa Beka flavour
Kuna kupigana[emoji16]Antonnia
Shougaaaaaa mbogaaaaaa hebuu njoo huku nna duku duku limenifikaaaa hapaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka kulimwagaaaaaa, fanyaa ukujeeee walllah. Khaaaaah
Tena ndondi za ndoigeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kupigana[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.ila analiwa tu [emoji28][emoji28][emoji28] madamu ana tundu