National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Salama kaka! Habari ya weekendNational Anthem habari yako mkuu
Salama kaka! Habari ya weekendNational Anthem habari yako mkuu
weekend vibe poa kabisa an leo pande zipi hizoSalama kaka! Habari ya weekend
Stimu zinakataje kwa kiportable Kama kile Afisa;😅😅😅😅 kile kitoto sijawai kabisa kuwa na mzuka nacho aisee.. kila nilipokuwa najaribu kukivutia hisia nikitupie bomba.. stim haziji..
anataka ma youtong kama ya shimbaStimu zinakataje kwa kiportable Kama kile Afisa;
Hahaha unataka tandamu Kama kina shammy
Haha vitu Kama xolimfeka!!anataka ma youtong kama ya shimba
ahahahahaha uwakika kama konde alivyo jiokotea koh koh yao yaoHaha vitu Kama xolimfeka!!
Ili atembeze vibao vizuri
Sijawai kukaelewa tu yani.. nahisi hatuendani nako damu.. kuna pisi kama mbili roho yangu ishapigaStim zilikata kwann sasa ?
acha uoga wewe yaani umeanza kuchagua mkuu mbona mapema sanaSijawai kukaelewa tu yani.. nahisi hatuendani nako damu.. kuna pisi kama mbili roho yangu ishapiga
Leo badae nasogea m.city na Leniew
weekend vibe poa kabisa an leo pande zipi hizo
Poa mkakamambo mrembo
umepotea sana data mzuriPoa mkaka
😅😅😅 huenda hao ni wa akibaacha uoga wewe yaani umeanza kuchagua mkuu mbona mapema sana
haha sema wanaamsha amsha sanaahahahahaha uwakika kama konde alivyo jiokotea koh koh yao yao
Mungu ni mwema,sijambo.kweli kabisa . Vipi dear mzima wewe
Nakubali hapo ngoja na mi nimtafute kwANza maan mda mrefu sana anLeo badae nasogea m.city na Lenie
na tukumbuke hakiba haiozi au sio😅😅😅 huenda hao ni wa akiba
Siku zisogee ahahahhaha sema wanaamsha amsha sana