Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tutumiane location wengine Jumapili tu ndo siku pekee ya kuenjoy weekend
Screenshot_20230122-112545.jpg
 
Kuna kitu kinanishangaza

Kuna muda wote wawili wanapotea

Halafu wanarudi ghafla

Itakuwa wanapelekeana moto hawa

Kama Maya na Masta

Na lenyewe linakiri kabisa

Linapenda kupelekewa moto



Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mvua hizi Babu yenu nipo shambani, si umeona bei ya mchele ilivyo panda.

Mwakani nataka niongee na Waziri wa Kilimo tupandishe bei ya mchele ifike 5,000/Kg 🤪🤪
 
Back
Top Bottom